Wednesday, June 14, 2006

TANZANIA DAIMA MTANDAONI!

Tovuti ya gazeti la Tanzania Daima hivi sasa inapatikana vizuri kabisa kwenye mtandao.Bonyeza hapa ulione.

1 comment:

  1. hongereni wazee kwa kupiga bao haya ni mafanikio makubwa tena katika kipindi kifupi mmedhihirisha kwamba kuthubutu kwenu kujituma na kufanya mambo yasiyowezekana kwa wengine, mnaweza. Kila la kheri haya ndo mambo tunayoyataka katika karne hii ya sayansi na teknolojia.

    ReplyDelete