YESTERDAY HAS GONE FOREVER!TOMMOROW WILL NEVER ARRIVE,BUT TODAY IS YESTERDAY'S TOMMOROW WITHIN YOUR REACH.WHAT ARE YOU DOING WITH IT?
Sunday, November 05, 2006
HII NDIYO TANZANIA YA SASA!
Mkuu wa mkoa wa Tabora,Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, ameua kwa kutumia silaha! Hiki ni kisa cha kinyama cha aina yake. Sidhani kama naweza kuelezea vizuri kisa chenyewe.Bonyeza hapa ujisomee.
MALIPO DUNIANI, AHERA ITAENDA HESABU. DITOPILE NAWE NI MZAZI. MBONDE ALIZALIWA NA BABA NA MAMA. KOSA LAKE NI KUKOSA MADARAKA SERIKALINI. TANZANIA, TANZANIA, TANZANIA...NAKULILIA.
waweza kujaza kabati kwa vyeti vya elimu ili uwepo kwenye tabaka la wasomi lakini kama ujaelimika ni bure. ditopile ulikwenda shule kupata maksi na si kuelimika. bush anamwonea saddam, viditopile ndio wakushughulikiwa.
HAPO INABIDI SHERIA ICHUKUE MKONDO TU KWA MH. DITTO AHUKUMIWE KAMA ILIVYOKUWA KWA KESI YA ZOMBE. NA HII ITAKUWA MFANO KWA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI, KWANI MADARAKA SIO KIPIMO CHA KUWAONEA RAIA NA KUCHUKUA MAAMUZI KAMA HAYA, HII INATISHA. KAMA VP KILA MTU AMILIKISHWE SILAHA BASI ILI TUGONGANE! NAOMBA SERIKALI IMUADABISHE BRO! DITTO.
inauma sana sana roho ya mtu inapotoka bila hatia kwa kweli mungu atusaidie manake kuna watu wamekuwa na kiburi sana na madaraka.kwani mbonde hakutaka kuishi?tena alikuwa ndio anategemewa na familia yote.kwa kweli ditopile ukae ukijua damu ya mtu huwa haiendi hivi hivi itakutesa sana,hasa kwa vile ulikusudia.
Ni chungu tulichokuwa tunakipika siku nyingi leo kimeiva! Kosa la dito ni kosa lenye neeme? kama anavyosemaga padri karugendo. Kiingereza wanaita "road rage", ndio kosa la kwanza kumpeleka Mwamba Tyson jela, kwao wazungu ni kitu cha kawaida kutokea. Fikiria, unaendesha gari lako ikifuata sheria zote, unasimama kupisha watoto wa shule wavuke barabara kwenye punda milia halafu jamaa lingine linasimamisha gari lake pembeni yako na kuanza kukutupia mitusi ....wewe *&!? unalala nini barabarani, unadhani uko kwa mkeo hapo, tupishe sisi tupute kwanza gari lako halina hesabu! *&!!@? nini. Unadhani katika hali hii na ukiunganisha na mambo ya huko ulikotoka na kiunoni unakitu cha kujivunia ,Bastola, utafanya nini? Jeff na wenzako mliokaa nje huko hali kama hii huwa wanajitetea vipi? mara ngapi kitu hiki huwa kinatokea? Labda Dito alishindwa kuzuia hali ile isitokee, lakini ilibidi atoke kumwonyesha kwamba yule jamaa alifanya kosa, sio kumtwanga risasi, lakini hadithi yenyewa haisemi vizuri mambo ya risasi yalianza vipi. hatuwezi kuisemea maiti na mashahidi wake kama ASP Tibaigana alivyosema labda ilikuwa makusudi au bahati mbaya, lakini kwangu ukweli ni Sheria za barabarani inabidi ziheshimiwe na kila mtu ana haraka ya kufika aendako! Vilevile ukichelewa kufika kubali umechelewa sio kulazimisha.
ILA JK HE HAVE TO BE VERY CAREFUL ON THIS ONE KWA SABABU WATU WANAMUANGALIA SANA ,NA KILA MTU ANAJUA KUWA DITO NI CLOSE FRIEND WA JK ,SASA WATANZANIA WOTE WANAANGALIA MACHO KWA SERIKALI,NA PIA KUNA MTOTO WA MUNGAI NAYE AMETUMIA BASTOLA YAKE VIBAYA KWA KUPIGA JUU KWANYE UKUMBI HUKO MAFINGA,SASA MAMBO HAYO YOTE YANAFANYWA NA WATU WAKUBWA ,SISI WADOGO TUJIFUNZE NINI???
Jamani vijana tunatakiwa tuichukue nchi sasa hivi.
ReplyDeleteKama Da mija alivyosema inasikitisha sana,sana,sana.
ReplyDeletehiyo ndio ari mpya na kasi mpya .
ReplyDeleteMALIPO DUNIANI, AHERA ITAENDA HESABU. DITOPILE NAWE NI MZAZI. MBONDE ALIZALIWA NA BABA NA MAMA. KOSA LAKE NI KUKOSA MADARAKA SERIKALINI. TANZANIA, TANZANIA, TANZANIA...NAKULILIA.
ReplyDeletewaweza kujaza kabati kwa vyeti vya elimu ili uwepo kwenye tabaka la wasomi lakini kama ujaelimika ni bure. ditopile ulikwenda shule kupata maksi na si kuelimika. bush anamwonea saddam, viditopile ndio wakushughulikiwa.
ReplyDeleteHAPO INABIDI SHERIA ICHUKUE MKONDO TU KWA MH. DITTO AHUKUMIWE KAMA ILIVYOKUWA KWA KESI YA ZOMBE. NA HII ITAKUWA MFANO KWA VIONGOZI WENGINE WA SERIKALI, KWANI MADARAKA SIO KIPIMO CHA KUWAONEA RAIA NA KUCHUKUA MAAMUZI KAMA HAYA, HII INATISHA. KAMA VP KILA MTU AMILIKISHWE SILAHA BASI ILI TUGONGANE! NAOMBA SERIKALI IMUADABISHE BRO! DITTO.
ReplyDeleteBUSH ANAMWONEA SADDAM, VIDITOPILE NDIO WAKUSHUGHULIKIWA. TENA NAONA HUKUMU YA JINO KWA JINO ITAMFAIDISHA, HUYU AFUNGWE MAISHA TU.
ReplyDeleteinauma sana sana roho ya mtu inapotoka bila hatia kwa kweli mungu atusaidie manake kuna watu wamekuwa na kiburi sana na madaraka.kwani mbonde hakutaka kuishi?tena alikuwa ndio anategemewa na familia yote.kwa kweli ditopile ukae ukijua damu ya mtu huwa haiendi hivi hivi itakutesa sana,hasa kwa vile ulikusudia.
ReplyDeleteNi chungu tulichokuwa tunakipika siku nyingi leo kimeiva! Kosa la dito ni kosa lenye neeme? kama anavyosemaga padri karugendo. Kiingereza wanaita "road rage", ndio kosa la kwanza kumpeleka Mwamba Tyson jela, kwao wazungu ni kitu cha kawaida kutokea.
ReplyDeleteFikiria, unaendesha gari lako ikifuata sheria zote, unasimama kupisha watoto wa shule wavuke barabara kwenye punda milia halafu jamaa lingine linasimamisha gari lake pembeni yako na kuanza kukutupia mitusi ....wewe *&!? unalala nini barabarani, unadhani uko kwa mkeo hapo, tupishe sisi tupute kwanza gari lako halina hesabu! *&!!@? nini.
Unadhani katika hali hii na ukiunganisha na mambo ya huko ulikotoka na kiunoni unakitu cha kujivunia ,Bastola, utafanya nini?
Jeff na wenzako mliokaa nje huko hali kama hii huwa wanajitetea vipi? mara ngapi kitu hiki huwa kinatokea?
Labda Dito alishindwa kuzuia hali ile isitokee, lakini ilibidi atoke kumwonyesha kwamba yule jamaa alifanya kosa, sio kumtwanga risasi, lakini hadithi yenyewa haisemi vizuri mambo ya risasi yalianza vipi. hatuwezi kuisemea maiti na mashahidi wake kama ASP Tibaigana alivyosema labda ilikuwa makusudi au bahati mbaya, lakini kwangu ukweli ni Sheria za barabarani inabidi ziheshimiwe na kila mtu ana haraka ya kufika aendako! Vilevile ukichelewa kufika kubali umechelewa sio kulazimisha.
ILA JK HE HAVE TO BE VERY CAREFUL ON THIS ONE KWA SABABU WATU WANAMUANGALIA SANA ,NA KILA MTU ANAJUA KUWA DITO NI CLOSE FRIEND WA JK ,SASA WATANZANIA WOTE WANAANGALIA MACHO KWA SERIKALI,NA PIA KUNA MTOTO WA MUNGAI NAYE AMETUMIA BASTOLA YAKE VIBAYA KWA KUPIGA JUU KWANYE UKUMBI HUKO MAFINGA,SASA MAMBO HAYO YOTE YANAFANYWA NA WATU WAKUBWA ,SISI WADOGO TUJIFUNZE NINI???
ReplyDeleteJeff Mdogo (sijui ni sawa), kasema kule kwake kuwa 'TULICHELEWA TU KUSOMA ISHARA ZA NYAKATI' na ninaungana naye
ReplyDeletehttp://msangimdogo.blogspot.com/2006/11/ya-ditopile-tulishindwa-kusoma-ishara.html