Friday, November 10, 2006

KAKA YAKE AWILO?



Kama wewe ni mtu wa "viwanja" si ajabu umeshaisikia "Chacarron".Ninachojiuliza mimi ni kwamba huyu sio kaka yake Awilo Longomba kweli? Bonyeza hapo juu ya picha uone mwenyewe.Have fun!

1 comment:

  1. Anonymous11:25:00 AM

    Jeff,nimecheka mpaka mbavu sina.Kweli kabisa,huyu ni kaka yake Awilo au ameiga kutoka kwa awilo.ahahahhaa

    ReplyDelete