Zemarcopolo umepatia.Hiyo ni pillow fight ambayo hufanyika hapa Toronto kuonyesha au kusisitiza kupinga matumizi ya silaha kama njia ya kutatua migogoro.Nadhani sote tunatambua kabisa kwamba silaha ndogondogo kwa mfano zinaua watu wengi sana duniani kuliko WMD ambazo taifa pekee ambalo limewahi kuitumia kuangamiza wengine ni Marekani kule Hiroshima na Yagasaki.Hongera Zemarcopolo na asante kwa kushiriki.
hii inaonekana ni pillow fight fulani.dada mweusi naona yuko fit!
ReplyDeleteZemarcopolo umepatia.Hiyo ni pillow fight ambayo hufanyika hapa Toronto kuonyesha au kusisitiza kupinga matumizi ya silaha kama njia ya kutatua migogoro.Nadhani sote tunatambua kabisa kwamba silaha ndogondogo kwa mfano zinaua watu wengi sana duniani kuliko WMD ambazo taifa pekee ambalo limewahi kuitumia kuangamiza wengine ni Marekani kule Hiroshima na Yagasaki.Hongera Zemarcopolo na asante kwa kushiriki.
ReplyDeleteShukrani Jeff!
ReplyDelete