Tuesday, November 06, 2007

UNATAKA KUUA SIMBA? KARIBU TANZANIA


Utalii ni mojawapo ya vyanzo muhimu sana vya mapato vya serikali yetu ya Tanzania.Mbuga zetu za wanyama ni fahari yetu na majaaliwa aliyotupa mwenyezi mungu. Lakini ili tuendelee kuwa na wanyama hao ambao ndio chambo cha biashara ya utalii,hatuna budi kuwatunza kama sio kuwalinda. Wenzetu

Kenya wao hawaruhusu uwindaji wa wanyama.Kwetu sisi rukhsa,hela yako tu.Tunakupa bunduki,wachuna ngozi na watu wa kukuongoza msituni ukamuue simba,swala,pundamilia na takribani mnyama yeyote unayetaka! Hata kama unaweza kumuua kama vile "morani" wa kimasai poa tu. Soma habari kamili kwa kubonyeza hapa.

9 comments:

  1. Pesa yako tuu kuua simba.
    Banjuka tuu! Maisha yenyewe ni mafupi inabidi
    inabidi kujirusha tuu
    baa baa banjuka tuuuuuu...
    Wa nini hao simba iwapo maisha yataisha karibuni tuu. Inawezekana vizazi vijavyo visiwepo au wasiwahitaji hao simba. Acha tujipatie mahela kabisa sasa.
    Point ya kuishia, Tujiulize, hivi ulaya hakukuwa na simba? wako wapi sasa? Na tuishi9e kwa kujiuliza, hivi hawa simba watahitajika na vizazi vijavyo?
    Maisha tuyarefushe.

    ReplyDelete
  2. Hapo umenifanya nikubaliane na wale wanaosema kwamba tatizo la nchi yetu liko mahala pengine kabisa pasipoonekana kwa urahisi. Inawezekana ikawa ni akilini. Sina hakika ila ninadhani tunalotatizo kubwa la kushughulikia haraka sana kabla mambo hayajaenda mrama.

    ReplyDelete
  3. Mkuu nimepita Nimekuta bado upo. Kaza buti mzee. Sie tunajikongoja

    ReplyDelete
  4. Anonymous6:43:00 PM

    UA UA TUUUU MAREKANI WAO WALIPO KUWA WANATAKA KUNDENLEZA KILIMO WALIWAUA NYATI KWA NDEGE ZA KIVITA TENA NA MABOMU. HAHA UA TUU UA KILA KITUUU MBUGAANIII

    ReplyDelete
  5. The writer's command over language is truly awe-inspiring. They effortlessly wield words like a master artist wielding a brush, creating a tapestry of imagery that transports us to faraway lands and immerses us in captivating experiences. Their descriptive prowess brings scenes to life, enabling us to taste the saltiness of the ocean breeze, feel the cool mist on our skin, and hear the melodic lullaby of crashing waves. Read more... https://www.debwan.com/blogs/497315/A-Quick-Guide-To-Bernedoodle-Puppies-For-Sale

    ReplyDelete
  6. Every detail matters on your special day, including the pillows that provide comfort and decorative flair. Choosing the right wedding pillows can transform your venue into a haven of luxury and elegance. Whether you envision a classic, rustic, vintage, or bohemian theme, this blog has gathered a collection of the six best wedding pillow ideas to inspire you. Read more... http://businesminds.com/6-best-wedding-pillows-ideas-for-desired-comfort-decor/

    ReplyDelete
  7. In this comprehensive guide, you can have eight tips from experts that assist you in selecting the ideal stainless steel dental crowns. By understanding the key factors, you can make a wise decision and work closely with your dentist to achieve a successful and effective dental restoration. Read more... http://businesminds.com/8-tips-for-choosing-the-right-stainless-steel-dental-crowns/

    ReplyDelete
  8. You will get high-quality dental care at the dental clinic that meets all the client's needs. Here are six reasons to contact Rancho Bernardo Dentistry if you want services. Read more... https://wiuwi.com/blogs/28483/6-Major-Reasons-To-Connect-with-Rancho-Bernardo-Dentistry

    ReplyDelete
  9. From preventing costly spills to optimizing fuel usage, this article will explore how accurate diesel flow meter are revolutionizing efficiency in various sectors and why attention to precision is more important than ever. Read more... https://wiuwi.com/blogs/28790/Precision-Matters-How-Accurate-Diesel-Flow-Meters-Boost-Efficiency

    ReplyDelete