Sunday, April 27, 2008

MALCOLM X: BALLOT OR BULLET

Umeshawahi kumsikia...au japo kulisikia jina lake. Dunia ilikuja kumtambua kama Malcolm X. Sasa kama umeshawahi kuwa na kiu ya kumtambua vyema au kujua alichokisimamia, sikiliza hotuba yake hiyo hapo chini aliyooita Ballot or Bullet.Kisha baada ya kusikiliza,jiulize; alichokiongelea kina uhusiano wowote na maisha tuliyonayo hivi leo?

6 comments:

  1. Hotuba hii hata angeiongea leo inakusa kabisa halihalisi

    ReplyDelete
  2. Sijafuatilia hiyo hotuba, lakini ni moja ya vitu ambavyo mtu anatakiwa kuvifahamu hata kama hakubaliani navyo maana iko siku roho yake itahitaji kumsuta.

    ReplyDelete
  3. hotuba hii kwangu mimi sijui niiteje kwangu mimi mwanaharakati imenigusa sana alikuwa na kipawa cha hali ya juu

    ReplyDelete
  4. Anonymous7:36:00 AM

    Bado simkubali huyo muuaji..nashukuru Martin Luther alimaliza mambo bila shari...
    see africa visit Tanzania

    ReplyDelete
  5. Anonymous7:42:00 PM

    This is a reason I disagree with white liberals. They always use a black person for their gain. And when it comes the time when a black is in trouble they blame him as a black. Harry Reid recently talked down to black people, he suggested a light skin black is elected. The same Reid attacked Justice Thomas who is black as a ignorant jurist and he praise other white conservative jurist Antonin Scalia. I am fed up with these liberals.Malcolm X was right, black people should get away with affirmative action which demean black people as inferior and cannot compete with whites

    ReplyDelete
  6. thanx for sharing nice blog information

    ReplyDelete