VIJIMAMBOZ PROUD AFRICAN KASRI LA MWANAZUO BONGOCELEBRITY NKYA MAWAZO NA MAWAIDHA JIKOMBOE MIRUKO NDABULI SHAMIM ZEZE DAMIJA MATERU MLOYI CHEMI CHE MPONDA BAKANJA MTAFITI LUKWARO MSANGI MDOGO MARK MSAKI DIRA YANGU MWAIPOPO KONA YANGU FURAHIA MAISHA YAKO DAMIJA MICHUZI FATHER KIDEVU MWANDANI NGURUMO FATMA KARAMA ZAINAB OMEGA NGOLE YAHYA CHARAHANI JARIDA LA UGHAIBUNI NYEMBO BWAYA BHALEZEE JUNGU KUU WATOTO WETU BLG BROTHER SAA YA UKOMBOZI NURU AKILINI TAFAKARI ZA MAISHA ALBERT WILSON UCHUMI MIDRAJI IBRAHIM Lucassano CHESI HAKI NGOWI KISIWA CHA AMANI Innocent Kahwa SULTAN TAMBA SIMON KITURURU MAVIZO MUSA NGARANGO KIJIWENI(NED) WATANZANIA JADOUNG METTY MAGGID MJENGWA SAHARAN VIBE MWENYE MACHO ABDALLAH MRISHO MYAFRICA SHERIA NA MAVAZI
NEW VISION UGANDA MONITOR UGANDA KENYAN NATION MEDIA EASTANDARD FROM AFRICA BUSINESS WEEK ALL AFRICA
MAGAZETI YA IPP UHURU NA MZALENDO BUSINESS TIMES DAILY NEWS TANZANIA DAIMA MWANANCHI BUNGE LA TANZANIA SERIKALI YA TANZANIA IPS INTERNATIONAL
AFRIKA HURU NINI KILITOKEA PAMBAZUKA DUNIA YETU GADO CARTOONS
SEND ME AN E-MAIL
Sunday, November 12, 2006
SIKU YA MWISHO YA KURA
Kama ilivyotangazwa ijumaa iliyopita, leo ndio siku ya mwisho ya kupiga kura ili kuchagua muda muafaka wa mkutano wetu wa Jumamosi ijayo Tarehe 18 Novemba,2006. Kura zilikuwa zikipigwa hapa. Hivyo kama bado hujapiga kura yako na ungependa kufanya hivyo kabla ya siku hii kumalizika unaweza fanya hivyo kwa kubonyeza hapa na kufuata maelekezo katika ukurasa utakaofunguka.

Halikadhalika, ukurasa wa kuandaa ajenda (zoezi pekee lililobaki) za mkutano wetu upo wazi kwa kila mtu na mapendekezo yanaendelea kutolewa. Fungua hapa uone mapendekezo yaliyokwisha tolewa na pia utoe ya kwako nk.
 
Muandishi: Jeff Msangi |Tarehe: 11:34 AM | Permalink |


Maoni: 2


 • Tarehe: 11:27:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Chediel Charles, Luihamu ringo

  Kaka Jeff,Gazeti Tando la Rastafarian limeungana na gazeti tando la kijiweni rundugai,kwa hiyo nitakuwa napatikana katika
  www.rundugai.blogspot.com
  karibuni wote.jah live.

   
 • Tarehe: 6:15:00 PM, Mtoa Maoni:- Blogger Jeff Msangi

  Ahsanteni sana kwa taarifa na hongereni sana kwa muungano.Umoja ni nguvu.Ni wazi kwamba mambo mengi yataendelea kutujia kutoka kwenu.Kila la kheri na ahsanteni kwa kuwa mfano wa ujamaa.

   
   
 
Copyright 2006 © JEFF MSANGI. All Rights Reserved
 
Idadi ya watu Idadi ya watu Idadi ya watu
eXTReMe Tracker