YESTERDAY HAS GONE FOREVER!TOMMOROW WILL NEVER ARRIVE,BUT TODAY IS YESTERDAY'S TOMMOROW WITHIN YOUR REACH.WHAT ARE YOU DOING WITH IT?
kibongobongo nakwambia poleni na baridi hapo.europe mwaka huu ni jua tu.wenyeji hawapendi hili jua la wakati huu,linawaharibia ratiba za skiing.kwahiyo kwa wo wangekwambia duh,kweli nyinyi mnafaidi!
Si utani nyuzi joto nazo zisharudisha heshima yake...maana hizi siku mbili tatu mambo yalikuwa ki-global warming fulani hivi!
kibongobongo nakwambia poleni na baridi hapo.europe mwaka huu ni jua tu.wenyeji hawapendi hili jua la wakati huu,linawaharibia ratiba za skiing.kwahiyo kwa wo wangekwambia duh,kweli nyinyi mnafaidi!
ReplyDeleteSi utani nyuzi joto nazo zisharudisha heshima yake...maana hizi siku mbili tatu mambo yalikuwa ki-global warming fulani hivi!
ReplyDelete