Thursday, February 22, 2007

BARAFU

Hapa nilipo bado ni mwendo wa barafu.Hii ni leo asubuhi.

2 comments:

  1. kibongobongo nakwambia poleni na baridi hapo.europe mwaka huu ni jua tu.wenyeji hawapendi hili jua la wakati huu,linawaharibia ratiba za skiing.kwahiyo kwa wo wangekwambia duh,kweli nyinyi mnafaidi!

    ReplyDelete
  2. Si utani nyuzi joto nazo zisharudisha heshima yake...maana hizi siku mbili tatu mambo yalikuwa ki-global warming fulani hivi!

    ReplyDelete